Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeielekeza Sekretarieti kukagua viwanja vilivyoteuliwa kwa ajili ya mechi za nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kuona kama viko tayari kwa mechi za nusu fainali ambazo zitapigwa mwezi ujao

ADVERTISE HERE