Kikosi cha Simba kimewasili Ruangwa, Lindi kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Majaliwa
Ruangwa ilisimama kwa muda kupisha mapokezi ya mabingwa hao wa nchi
ADVERTISE HERE