Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Kim Poulsen ameita wachezaji 27 ambao wataingia kambini Juni 05 kujiandaa na mchezo wa Kimataifa wa kirafiki dhidi ya Malawi
Nyota saba kutoka klabu ya Simba wamejumuishwa katika kikosi hicho
Aishi Manula, Shomari Kapombe, Mohammed Hussein, Erasto Nyoni, Kennedy Juma, Mzamiru Yassin na John Bocco

ADVERTISE HERE