Simba iko mkoani Mtwara ambapo baadae leo wataelekea Ruangwa, tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Majaliwa
Baada ya mchezo huo Simba itarejea jijini Dar es salaam kisha kuunganisha mkoani Mwanza wanakokabiliwa na mchezo mwingine wa kiporo dhidi ya Ruvu Shooting
Ruvu watakuwa wenyeji wa mchezo huo ambao wameamua kuupeleka jijini Mwanza
Hii ni mechi ya kisasi kwa Simba hasa ikikumbukwa Ruvu Shooting walishinda mchezo wa duru ya kwanza

ADVERTISE HERE