Kikosi cha Simba kimewasili mkoani Mtwara wakiwa njiani kuelekea Ruangwa wanakokabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc
Mchezo huo utapigwa kesho Jumamosi katika uwanja wa Majaliwa

ADVERTISE HERE