Timu ya Taifa ya Zambia 'Chipolopolo' inatarajiwa kucheza michezo mitatu ya kirafiki katika kipindi cha mapumziko ya kalenda ya FIFA wiki ijayo
Nyota wa Simba Clatous Chama na Larry Bwalya wamejumuishwa katika kikosi hicho cha Micho
Zambia itacheza mechi za kirafiki dhidi ya Senegal, Benin na Sudan
Chama na Bwalya wamekuwa katika kiwango bora sana ndani ya klabu ya Simba
Hii ni mara ya pili kwa nyota hao kuitwa pamoja wakitokea Simba
ADVERTISE HERE