Gomes amkubali Ambundo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 May 2021
Gomes amkubali Ambundo

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes ameonyesha kuvutiwa na mshambuliaji wa Dodoma Jiji Dickson Ambundo

Jana baada ya mchezo wa robo fainali kombe la FA ambao Simba walishinda kwa mabao 3-0, Gomes alieleza kuvutiwa na nyota huyo

Gomes alimwambia kocha wa Dodoma Jiji Mbwana Makatta kuwa Ambundo aliyekuwa amevaa jezi namba 7 ni mchezaji wake aliyemvutia

Ambundo alijiunga na Dodoma Jiji mwanzoni mwa msimu huu akitokea klabu ya Gor Mahia aliyoitumikia kwa msimu mmoja

Kabla ya kujiunga na Gor Mahia, Ambundo aliichezea klabu ya Alliance Fc misimu miwili nyuma

Msimu unaelekea ukiongoni, dirisha la usajili likikaribia kufunguliwa. Pengine Gomes anaweza kumvuta nyota huyo Msimbazi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
46m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’