Kituo kinachofuata ni Namungo Fc

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 May 2021
Kituo kinachofuata ni Namungo Fc

Baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji na kutinga nusu fainali ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), mabingwa wa nchi Simba wanaelekea Ruangwa mkoani Lindi kuwakabili Namungo Fc kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Kulingana na ratiba iliyotolewa na Bodi ya Ligi, Simba itashuka uwanja wa Majaliwa, Jumamosi May 29 kuwakabili Namungo

Huu utakuwa mchezo wa kwanza baina ya timu hizo msimu huu

Simba na Namungo zilikuwa na majukumu ya kuiwakilishi nchi michuano ya CAF

Baada ya mchezo huo, Simba itarejea jijini Dar es salaam ambapo Juni 03 watashuka uwanja wa Uhuru kuikabili Ruvu Shooting

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’