Bocco, Okwi waongoza maandalizi kuikabili Al Masry

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Mar 2018
Bocco, Okwi waongoza maandalizi kuikabili Al Masry
Kikosi cha Simba kimeendelea na mazoezi katika viwanja vya Boko Veterani jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa kombe la shirikisho hatua ya 32 bora dhidi ya Al Masry.

Vinara wa mabao, nahodha John Bocco na Emanuel Okwi ni miongoni mwa wachezaji wanaojifua kujiandaa na mchezo huo unaotarajiwa kupigwa siku ya Jumatano, March 07, 2018.

Okwi na Bocco walimpumzishwa kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Stand United juzi.

Kocha Msaidizi wa Simba Masudi Djuma amesema maandalizi kuelekea mchezo huo yanakwenda vizuri. Lengo la Benchi la Ufundi ni kukiandaa kikosi chao ili kuhakikisha kinaibuka na ushindi kwenye mchezo huo wa mzunguuko wa kwanza.

"Tunajipanga kupata ushindi mnono hapa nyumbani ili kuhakikisha hatutakuwa na presha kubwa kwenye mchezo wa marudiano," amesema Djuma.

Simba itasafiri kwenda Misri kurudiana na Al Masry March 17.

Timu za Misri zinafahamika kwa kufanya 'figisu' za kila namna zinapocheza nyumbani hivyo ni muhimu kwa Simba kupata ushindi mnono hapa nyumbani.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’