Nahodha wa Simba John Bocco amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa wiki michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika
Bocco ameshinda tuzo hiyo baada ya kupigiwa kura kwa wingi na mashabiki wa soka Barani Afrika
Kiwango bora alichoonyesha kwenye mchezo dhidi ya Kaizer Chiefs mwishoni mwa wiki, kimemtunuku tuzo hiyo
Bocco alifunga mabao mawili katika ushindi wa mabao 3-0 ambao Simba ilipata dhidi ya Chiefs
Hongera nahodha! ni tuzo stahili...!
ADVERTISE HERE