Kikosi cha Simba leo kimekamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Dodoma Jiji
Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano katika uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa moja kamili usiku
Baada ya kuondoshwa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa, wababe hao wa soka nchini wamerejea nyumbani kutetea mataji yao, Ligi Kuu na hili la FA






ADVERTISE HERE