Mchanganuo wa mapato Ligi Kuu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 May 2021
Mchanganuo wa mapato Ligi Kuu

Azam Media na TFF leo wamesaini mkataba wa miaka 10 wa haki za matangazo ya ligi kuu ya Vodacom. Mkataba huo una thamani ya Tsh Bilioni 225.6

Habari njema ni kuongezeka kwa bonus kwa timu shiriki katika kipindi chote cha miaka 10

Kwa miaka mitatu ijayo, bingwa wa ligi kuu atakusanya kitita cha Tsh Milioni 500

Mshindi wa pili ataondoka na jumla ya Tsh Milioni 250, mshindi wa tatu Tsh Milioni 225 na mshindi wa nne Tsh Milioni 200

Mgawanyo wa fedha kwa timu nyingine, utakuwa ukibadilika kila mwaka

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’