Nusu fainali itakosa mvuto bila ya Simba - Mo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 May 2021
Nusu fainali itakosa mvuto bila ya Simba - Mo

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amesema michuano ya ligi ya mabingwa itakosa mvuto baada ya Simba kuondolewa katika hatua ya robo fainali

Jana CAF walitoa kikosi bora cha hatua ya robo fainali ambapo wachezaji wa Simba Mohammed Husein, Luis Miquissone, Clatous Chama na John Bocco walijumuishwa

Simba iliifumua Kaizer Chiefs mabao 3-0 katika mchezo ambao mabingwa hao wa soka Tanzania walilidhihirishia bara la Afrika kuwa ni bahati tu waliyokuwa nayo Kaizer ndio iliyowavusha lakini sio kwa ubora wa timu

Mo amesema kukosekana kwa Simba katika hatua ya nusu fainali, kumewaondolewa burudani mashabiki wa soka barani Afrika

"Nusu fainali za Ligi ya mabingwa Afrika haitokuwa na mvuto bila ya Simba, " aliandika Mo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Aidha katika maoni yake aliyotoa jana, Mo alisema pamoja na Simba kuwazidi Kaizer Chiefs, pia waliifanya waonekane ni timu ya kawaida sana

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
29m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’