Simba 'imeiheshimisha' Tanzania Kimataifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 May 2021
Simba 'imeiheshimisha' Tanzania Kimataifa

Alama 13 ambazo Simba imeweza kukusanya katika michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu, zimefanya Tanzania kufikisha alama 27.5 na kujihakikishia kutoa timu nne kwenye michuano ya CAF msimu ujao

Kwa maana msimu ujao Tanzania itatoa timu mbili kwenye michuano ya ligi ya mabingwa na timu mbili kwenye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika

Aidha, kutolewa kwa ASC Jaraaf ya Senegal kwenye mashindano ya kombe la shirikisho na klabu ya Cotton Sports ya Cameron katika hatua ya robo fainali, kumeihakikishia Tanzania kusalia katika nafasi ya 12 wakati Senegal wakipanda mpaka nafasi ya 13 wakiwa na alama 15

Wakati ligi ya mabingwa msimu huu ikianza, Tanzania ilikuwa na alama 13.5 hivyo Simba peke yake imechangia alama 13 wakati Namungo ikichangia alama moja

Simba imeendelea kuiheshimisha Tanzania, matunda ya mafanikio yake yanawanufaisha wengine pia

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’