Bocco atuzwa na Emirates Alminium

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 May 2021
Bocco atuzwa na Emirates Alminium

Nahodha wa Simba John Bocco alichaguliwa kuwa nyota wa mchezo dhidi ya Kaizer Chiefs akiwaongoza mabingwa hao wa nchi kupata ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya wajukuu wa Mandela

Katika mchezo huo Bocco alikuwa kwenye kiwango bora sana pia akifunga mabao mawili

Bocco amejinyakulia kitita cha Tsh 2,500,000/- kutoka kwa kampuni ya Emirates Alminium

Kiwango alichoonyesha Bocco katika mchezo huo pengine kinatosha kumshawishi kocha Didier Gomes kuwa hapaswi kumuacha nje

Kwani alikuwa bora zaidi ukilinganisha na mshambuliaji chaguo la kwanza Chris Mugalu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’