Kaizer Chiefs wamepenya nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa licha ya kuchezea kichapo cha mabao 3-0 kutoka kwa Simba
Kwa hakika Simba imedhihirisha ukubwa wake, ni kiwango cha hali ya juu walichoonyesha wachezaji katika mchezo wa leo
Simba ilistahili kupata ushindi mnono zaidi, ni bahati mbaya tu idadi ya mabao hayakutimia
Ilikuwa siku nzuri kwa nahodha John Bocco aliyefunga mabao mawili huku bao la tatu likifungwa na Chama


Simba ilikaribia kukamilisha come-back ya kihistria, wachezaji wamepambana, hakuna mwenye lawama
Juhudi za wachezaji zilionekana tangu dakika ya kwanza, walifanya kila kitu kwa usahihi walichokosa ni utimilifu wa mabao tu
ADVERTISE HERE