Klabu ya Simba imewataka mashabiki watakaoingia uwanja wa Benjamin Mkapa kuhakikisha wanavaa barakoa kwa kujikinga na maambukizi ya corona
Imeelezwa kuwa mashabiki ambao hawakuwa na barakoa hawataruhusiwa kuingia uwanjani kushuhudia mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa kumi kamili jioni
Ni utaratibu uliotolewa na Shirikisho la soka barani Afrika (CAF)
ADVERTISE HERE