Happy Birthday Lwanga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 May 2021
Happy Birthday Lwanga

Leo ni kumbukumbu ya tarehe ya kuzaliwa kiungo mkata umeme Taddeo Lwanga

Akiwa ametua Simba kwenye usajili wa dirisha dogo, Lwanga amedhihirisha ubora wake akiingia moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza

Ukizungumzia mafanikio ambayo Simba imepata kwenye michuano ya ligi ya mabingwa kuanzia hatua ya makundi, hutakosa kutaja jina la Lwanga kwani amekuwa silaha muhimu ya Simba kwenye eneo la kiungo cha ukabaji

Kesho panapo majaaliwa, Lwanga atakuwa kikosini katika mchezo wa kihistoria ambao Simba wanasaka nafasi ya kutinga nusu fainali kwa kupindua matokeo ya mabao 4-0 dhidi ya Kaizer Chiefs

Happy Birthday Lwanga..!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’