Tiketi kuelekea mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya ligi ya mabingwa dhidi ya Kaizer Chiefs, zimeanza kuuzwa leo kupitia mitandao ya simu
Mpaka sasa ni mashabiki 10,000 ambao wataruhusiwa kuingia uwanjani kushuhudia mchezo huo ingawa uongozi wa Simba kwa kushirikiana na TFF wameomba nafasi zaidi
Tiketi zimeanza kuuzwa leo kupitia mitandao ya simu (MPESA, TIGOPESA na T-PESA)
Aidha tiketi za karatasi zitaanza kupatikana vituoni kuanzia kesho
ADVERTISE HERE