Uongozi wa klabu ya Simba utakuwa na Mkutano na Wanahabari siku ya kesho Jumatano, May 19 2021
Mkutano huo utafanyika Hotel ya Serena kuanzia saa sita kamili mchana
Mabingwa wanatarajiwa kuweka mkakati kuelekea mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya Kaizer Chiefs utakaopigwa Jumamosi, May 22 2021
ADVERTISE HERE