Ratiba robo fainali ASFC, Simba vs Dodoma Jiji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 May 2021
Ratiba robo fainali ASFC, Simba vs Dodoma Jiji

Mabingwa wa nchi Simba, baada ya mchezo wao wa mkondo wa pili robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs, watakuwa na mchezo mwingine wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Dodoma Jiji

Simba itacheza na Kaizer Chiefs May 22 uwanja wa Benjamin Mkapa, May 26 watarejea tena katika uwanjaΒ  huo kuikabili Dodoma Jiji

Ratiba iliyotolewa na TFF imebainisha kuwa michezo ya nusu fainali itachezwa katika mikoa ya Ruvuma na Tabora

Nusu fainali ya kwanza itahusisha mshindi wa mchezo kati ya Simba vs Dodoma Jiji dhidi ya Rhino Rangers vs Azam Fc. Mchezo huu utapigwa uwanja wa Majimaji, Songea

Nusu fainali ya pili itahusisha mshindi wa mchezo kati ya Biashara United vs Namungo Fc dhidi ya Mwadui Fc vs Yanga. Mchezo huu utapigwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’