Simba kuingia kambini leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 May 2021
Simba kuingia kambini leo

Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba Sc waliwasili kutoka Afrika Kusini jana mchana baada ya mchezo dhidi ya Kaizer Chiefs ambao walipoteza kwa kufungwa mabao 4-0

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amesema wachezaji walipewa mapumziko jana na leo wanaingia kambini kuanza maandalizi ya mchezo wa marudiano dhidi ya Kaizer Chiefs ambao utapigwa May 22 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Manara amesema watakuja na mkakati kabambe wa kuhakikisha wanashinda mchezo huo na muhimu zaidi kuona wanatinga nusu fainali licha ya kuwa kazi kubwa lazima ifanyike

Simba itahitaji kushinda angalau mabao 5-0 kuweza kuingia nusu fainali, ushindi wa mabao 4-0 utaupeleka mchezo huo kwenye muda wa ziada

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’