Simba Queens Bungeni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 May 2021
Simba Queens Bungeni

Baada ya kushinda ubingwa wa ligi kuu ya Wanawake kwa kuichapa Baobab Queens bao 1-0 hapo jana, wababe wa soka la Wanawake nchini Simba Queens leo wamekaribishwa bungeni

Ni msimu wa pili mfululizo Simba Queens inatwaa ubingwa huo chini ya kocha Mussa Hassan Mgosi

Wamekamilisha msimu wakijikusanyia alama 54 ambazo ni alama moja zaidi ya watani zao Yanga Princess waliomaliza katika nafasi ya pili wakiwa na alama 53

Simba Sc imepania kuendeleza rekodi kwa kushinda mataji yote ambayo timu zake zinashiriki

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’