Tutarejea tukiwa imara - Zimbwe Jr

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 May 2021
Tutarejea tukiwa imara - Zimbwe Jr

Nahodha msaidizi wa Simba Mohammed Hussein 'Zimbwe Jr' amesema licha ya kupoteza mchezo wa mkondo wa kwanza ligi ya mabingwa dhidi ya Kaizer Chiefs, wanayo nafasi ya kuipigania Simba katika mchezo wa marudiano utakaopigwa wiki ijayo jijini Dar es salaam

Usiku wa jana haukuwa mzuri kwa wachezaji na mashabiki wa Simba baada ya kuishuhudia timu yao ikipoteza mchezo kwa kufungwa mabao 4-0

Ni matokeo ambayo hakuna aliyetayatarajia hasa kutokana na ubora ambao Simba imeonyesha kwenye michuano ya ligi ya mabingwa msimu huu

"Tumepoteza mchezo leo lakini huu sio mwisho, tunayo nafasi ya kuonyesha sisi ni Simba. Tutarejea tukiwa imara," alisema Zimbwe Jr

Simba inatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam leo kuanza maandalizi ya mchezo huo wa mkondo wa pili utakaopigwa May 22 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Mabingwa hao wa soka Tanzania Bara wanahitaji ushindi wa kuanzia mabao 5-0 ili kuweza kutinga nusu fainali

Hakuna lisilowezekana kwenye mchezo wa mpira wa miguu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
16h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’