Balozi aongeza mzuka kwa Wachezaji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 May 2021
Balozi aongeza mzuka kwa Wachezaji

Majira ya saa moja usiku leo,Β  Simba mabingwa wa soka Tanzania Bara, watakuwa na uwakilishi wa nchi katika mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs

Baada ya chakula cha mchana, wachezaji walipata nasaha kutoka kwa Balozi wa Tanzania Afrika Kusini Meja Jenerali Gaudence Milanzi (Mst) ambaye aliwahamasisha kuhakikisha wanapata ushindi baadae leo

Balozi Gaudence Milanzi amewataka wachezaji kuhakikisha wanawatoa 'kimasomaso' Watanzania kwa kushinda mchezo huo

Amesema ana imani kubwa na kikosi cha Simba na kuwa leo watafanya vizuri kama walivyofanya katika michezo iliyopita

Aidha Balozi Gaudence Milanzi amebainisha kuwa mchezo huo utachezwa pasipo uwepo wa mashabiki lakini anaamini kwa wachezaji wa Simba hilo haliwezi kuwa tatizo kwao kuweza kutimiza majukumu yao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’