Kaizer Chiefs wamepagawa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 May 2021
Kaizer Chiefs wamepagawa

Siku moja kabla ya kuwavaa mabingwa wa nchi Simba, mashabiki wa Kaizer Chiefs ni kama 'wamepagawa' wakiwa hawana matumaini na timu yao

Mapema leo mashabiki wa klabu hiyo, waliandamana wakiushushia lawama uongozi wa timu yao kutokana na mfululizo wa matokeo mabovu

Ni kama wamechungulia na kuona kwa mziki wa Simba hii, itakuwa muujiza kwao kupenya hatua ya nusu fainali

Lawama nyingi wanawatupia viongozi wao kuwa hawakuwekeza katika kusajili wachezaji wenye ubora

Ni wazi timu hiyo itaingia kwenye mchezo dhidi ya Simba hapo kesho ikiwa kwenye presha kubwa

Vijana wa Kocha Didier Gomes wanahitaji kuwa watulivu kwani ni mechi ambayo wanaweza kuondoka na ushindi mnono ugenini

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’