Nyota Simba wakamilisha vipimo vya corona

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 May 2021
Nyota Simba wakamilisha vipimo vya corona

Kuelekea mchezo wa robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya Kaizer Chiefs ambao utapigwa kesho Jumamosi, dimba la Soccer City (FNB), wachezaji na viongozi wa Simba leo walishiriki zoezi la vipimo vya corona lililofanyika asubuhi

Majibu ya vipimo hivyo yanatarajiwa kutolewa baadae leo tayari kwa mchezo huo wa kukata na shoka

Afrika Kusini ni miongoni mwa nchi zenye changamoto kubwa ya corona, mchezo hautarajiwi kuhudhuriwa na mashabiki

Aidha ni watu 10 tu wataruhusiwa kuingia uwanjani nje ya wachezaji watakaoshiriki mchezo huo kwa upande wa Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’