Taasisi ya @deporfinanzas inayojihusisha na uchambuzi wa matumizi ya mitandao ya kijamii, imetoa takwimu za mwezi April 2021 ambapo mabingwa wa nchi Simba wameongoza bara la Afrika kwa ushawishi katika mtandao wa Instagram
Kwa mujibu wa mtandao huo, Simba imefuatiliwa mara 7.32 Milion ikishika nafasi ya kwanza huku ikifuatiwa na mabingwa wa kihistoria Afrika, Al Ahly
Klabu ya Raja Athletic imeshika nafasi ya tatu

ADVERTISE HERE