Tunaitaka fainali ligi ya mabingwa - Chama

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
13 May 2021
Tunaitaka fainali ligi ya mabingwa - Chama

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Simba, Clatous Chama amesema kuwa malengo yao msimu huu ni kufika fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, hivyo Kaizer Chiefs wasitarajie mteremko katika mchezo wa kwanza wa robo fainali

Jumammosi, Simba wanatarajia kushuka uwanja wa FNB Afrika Kusini kuwakabili wabishi Kaizer Chiefs, ambao wametinga hatua ya robo fainali wakitokea Kundi C

Chama amesema pamoja na kufahamu kuwa mchezo hautakuwa mwepesi kwa kila timu, hawatakubali kupoteza mchezo huo

"Tumekuja Afrika Kusini kutafuta matokeo ili kujiweka katika nafasi nzuri tutakaporudi nyumbani katika mchezo wa marudiano ambao ndio utatoa hatima ya nani aende nusu fainali."

"Haikuwa jambo rahisi kumaliza nafasi ya kwanza mbele ya bingwa mtetezi, ambaye ni kinara katika orodha ya timu bora Afrika, tumekuja huku kupambana kila mchezaji kiu yake ni kuona tunacheza fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika," alisema Chama

Chama aliongeza kuwa ubora wa kikosi chao unatokana na malengo waliyojiwekea na umoja uliopo, ambacho kimekuwa na muendelezo mzuri wa matokeo kuanzia katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na Kombe la Shirikisho

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE →
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE →
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE →
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE →