Dozi yao itakuwa tayari Jumamosi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 May 2021
Dozi yao itakuwa tayari Jumamosi

Simba imepania kwelikweli kupata ushindi Jumamosi kwenye mchezo wa kwanza wa robo fainali michuano ya ligi ya mabingwa dhidi ya Kaizer Chiefs

Machampioni hao wa soka Tanzania waliwasili Afrika Kusini juzi, jana usiku wakafanya mazoezi yao katika siku ya pili tangu watue jijini Johanesburg

Aidha jana waliwashuhudia wapinzani wao Kaizer Chiefs wakilazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Swallows katika mchezo wa ligi kuu ya Afrika Kusini

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes amepania kuwaadhibu Chiefs hapo hapo 'sebuleni' kwao

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’