Mabingwa wa nchi Simba leo ni siku ya pili wako jijini Johanesburg wakijiandaa na mchezo wa robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya Kaizer Chiefs
Simba inafanya mazoezi yake kuanzia muda wa jioni kwani mchezo dhidi ya Chiefs utapigwa kuanzia saa moja kamili usiku kwa saa za Tanzania



ADVERTISE HERE