Wachezaji Simba 'wana-enjooooy'

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 May 2021
Wachezaji Simba 'wana-enjooooy'

Kuwa mchezaji wa Simba wakati huu ni raha sana. Ni kipindi bora sana cha kikosi cha Simba, ni kipindi bora sana kwa wachezaji wake

Simba ya sasa inaufanya mpira uonekane kama mchezo rahisi sana

Wenyewe wanasema Simba ya sasa inacheza kama 'playstation'

Wachezaji wanafurahia kile wanachokifanya uwanjani

Mashabiki wa Simba msimu huu wana kila sababu ya kuhitaji mambo makubwa zaidi kutoka kwa timu yao

Mashabiki wanataka historia mpya iandikwe kule kwenye michuano ya ligi ya mabingwa

Dakika 180 zijazo zinaweza kuishuhudia Simba ikitinga nusu fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa

Dakika 180 nyingine zinaweza kuwashuhudia wababe hao wa soka nchini wakiingia fainali

Dakika 90 nyingine zinaweza zikaishuhudia Simba ikitawazwa mabingwa wa Afrika kwa mara ya kwanza

Unaweza kufikiri ni kitu kisichowezekana, lakini kwa Simba hii ya akina Miquissone, Chama, Bwalya lolote linawezekana

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
2h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
3h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
5h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’