Baada ya kuwasili Afrika Kusini hapo jana, kikosi cha Simba hakikuwa na muda wa kupoteza kwani jioni kilianza mazoezi kuelekea mchezo wao wa robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya Kaizer Chiefs
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, May 15 katika uwanja wa FNB
Mabingwa hao wa soka Tanzania Bara wamepania kupata ushindi ugenini ili kujirahisishia kazi katika mchezo wa marudiano utakaopigwa jijini Dar es salaam wiki ijayo




ADVERTISE HERE