Mabingwa wapewa Dodoma Jiji robo fainali Shirikisho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 May 2021
Mabingwa wapewa Dodoma Jiji robo fainali Shirikisho

Mabingwa watetezi michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), Simba wamepangwa kucheza na Dodoma Jiji mchezo wa robo fainali utakaopigwa jijini Dar es salaam kati ya May 25/26

Aidha katika droo iliyofanyika mapema leo, Rhino Rangers itacheza na Azam Fc wakati Biashara United wakitarajiwa kuwa nyumbani dhidi ya Namungo Fc

Mwadui Fc watawakaribisha Yanga katika mchezo utakaopigwa mkoani Shinyanga

Michezo ya nusu fainali itawakutanisha washindi wa michezo ya Simba vs Dodoma Jiji dhidi ya Rhino Rangers vs Azam Fc na nusu fainali ya pili ni Biashara United vs Namungo dhidi ya Mwadui Fc vs Yanga

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’