Morrison kuifuata Simba Afrika Kusini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 May 2021
Morrison kuifuata Simba Afrika Kusini

Winga Bernard Morrison hakuondoka na wachezaji wengine wa Simba alfajiri ya leo kuelekea Afrika Kusini kutokana na matatizo ya kifamilia

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema Morrison atarajiwa kuungana na Simba huko Afrika Kusini baada ya kumaliza changamoto zinazomkabili

Aidha Rweyemamu amewataja wachezaji ambao wamebaki jijini Dar es salaam kuwa ni Miraji Athumani, Said Ndemla na Perfect Chikwende

Mchezo wa robo fainali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs utapigwa Jumamosi May 15 katika uwanja wa FNB

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
21m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’