Tutaiheshimisha Tanzania - Gomes

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
11 May 2021
Tutaiheshimisha Tanzania - Gomes

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes amesema wanakwenda Afrika Kusini wakiwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri katika mchezo wa robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya Kaizer Chiefs

Simba imeondoka Alfajiri ya leo Jumanne kuelekea Afrika Kusini tayari kwa mchezo huo ambao utapigwa Jumamosi, May 15 2021

Akizungumza na wanahabari muda mfupi kabla ya timu kuondoka, Gomes alisema vijana wana ari kufanya vizuri katika mchezo huo

"Tunajua hautakuwa mchezo mwepesi lakini nasi tumejiandaa vya kutosha. Ni mchezo ambao tumeusubiri kwa muda mrefu. Tumejipanga, tutacheza kwa hamasa ya juu na kujitoa kwa sababu tunataka kuipa heshima Tanzania na mashabiki wa Simba," amesema

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’