Kikosi cha Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimeendoka nchini Alfajiri ya leo Jumanne kuelekea Afrika Kusini ambako wanakabiliwa na mchezo wa ligi ya mabingwa, robo fainali dhidi ya Kaizer Chiefs
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, May 15 katika uwanja wa FNB
Simba imeondoka nchini ikiwa na matumaini makubwa ya kufanya vizuri katika mchezo huo


ADVERTISE HERE