Mchezo dhidi ya Coastal Union wasogezwa mbele

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 May 2021
Mchezo dhidi ya Coastal Union wasogezwa mbele

Alfajiri ya kuamkia kesho Jumanne, Simba itaondoka jijini Dar es salaam kuelekea Afrika Kusini ambao siku ya Jumamosi May 15, 2021 wanakabiliwa na mchezo wa robo fainali ligi ya mabingwa dhidi ya Kaizer Chiefs

Hapa nyumbani ratiba ya ligi kuu ilikuwa ikionyesha kesho majira ya saa moja jioni, Simba ilipaswa kucheza na Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu uliokuwa upigwe uwanja wa Benjamin Mkapa

Bodi ya Ligi Kuu nchini imesema mchezo huo umeahirishwa na utapangiwa tarehe nyingine kutokana na safari hiyo ya Simba kwenda Afrika Kusini kutimiza majukumu ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL)

Aidha, Coastal Union watacheza dhidi ya Polisi Tanzania Mei 16, 2021 kwenye uwanja wa Mkwakwani, Tanga.

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’