Uongozi wa klabu ya Simba, umetoa tamko kulaani kitendo cha kuahirishwa mchezo dhidi ya Yanga uliopaswa kupigwa saa moja usiku jana
Simba imeeleza kushangazwa na uamuzi uliochukuliwa na Bodi ya ligi kuahirisha mchezo huo wakati Yanga waligomea na kwa mujibu wa kanuni, wanastahili kuadhibiwa kwa kushushwa madaraja mawili

Β
ADVERTISE HERE