Jonas Mkude ndiye mfalme wa Dabi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 May 2021
Jonas Mkude ndiye mfalme wa Dabi

Wakati Simba na Yanga zikitarajiwa kuumana leo katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa 11 jioni, kiungo Jonas Mkude 'Nungunungu' anashikilia rekodi ya kucheza mechi nyingi za dabi

Mkude amecheza mechi 17 za dabi akiwa katika kikosi cha Simba kwa takribani miaka 10 sasa

Utamu wa rekodi yake ni kuwa mechi zote amecheza akiwa na Simba, hakuwahi kuondoka Msimbazi tangu alipopandishwa kutoka timu ya vijana

Leo ni siku nyingine ya historia kwake na matumaini ni makubwa atashangilia ushindi na wachezaji wenzake baada ya dakika 90

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
50m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’