Hapo 'machinjioni' hawatatoka leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 May 2021
Hapo 'machinjioni' hawatatoka leo

Jana Kocha Msaidizi wa Simba Selemani Matola alisema hawana presha yeyote kuelekea mchezo dhidi ya Yanga ambao utapigwa baadae leo katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Matola alisema msimu huu Simba imecheza mechi kubwa na miamba wa soka kama Al Ahly, AS Vita, Al Merrikh, Al Hilal na hata Fc Platinum ambao wote walichezea vichapo hapo kwa Mkapa

Wachezaji wa Simba wako tayari kucheza na Yanga, utayari huo umedhihiri hata kabla ya mchezo

Katika miaka mitano iliyopita Simba imepoteza mchezo mmoja tu dhidi ya Yanga, itoshe kusema matokeo ambao huwa Yanga wanapata dhidi ya Simba ni bahati tu

Afisa Habari wa Simba Haji Manara amezungumza mara nyingi, kuwa Simba ya msimu huu ndio kikosi bora kilichowahi kutokea katika historia ya klabu ya Simba

Maneno haya yanabebwa na takwimu, hapa tunazungumzia Simba ambayo iko robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa baada ya kuvitikisa vigogo vya soka barani Afrika

Kuna vigogo hawatamani kukutana na Simba kwenye michuano hiyo, hizo ni timu zilizokamilika kwelikweli lakini zinamgwaya 'Mnyama'

Leo Simba inakwenda kufanya kile ambacho wamekifanya mara nyingi pale kwa Mkapa msimu huu, kushinda

Itakuwa mpira unadunda kwelikweli kama Mnyama atashindwa kupata matokeo dhidi ya Yanga leo

Ni siku ya furaha kwa mashabiki wa Simba, wengi wanatarajiwa kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao

Pengine historia nyingine ya matokeo ya dabi inaweza kuandika leo. Simba imeshaifunga Yanga kuanzia bao moja hadi sita, historia inayosubiriwa ni kuvuka mabao sita!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’