Tiketi za VIP A zimekwisha

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 May 2021
Tiketi za VIP A zimekwisha

Mapema tu, Tiketi za VIP A zimemalizika leo mashabiki wakizichangamkia kuelekea kushuhudia mtanange wa kukata na shoka kati ya mabingwa wa nchi Simba dhidi ya watani zao Yanga

Kwa wale ambao bado hawajakata tiketi, wana nafasi hiyo kesho asubuhi kwani huenda zoezi hilo likafungwa mapema

TFF imetangaza kuwa mageti ya uwanja wa Benjamin Mkapa yatafunguliwa mapema na itakapofika saa kumi kamili Alasiri, yatafungwa

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’