Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kiungo mkongwe, kiraka Erasto Nyoni
Nyoni ni mchezaji aliyedumu katika soka la Tanzania kwa zaidi ya miaka 15 huku akiwa katika ubora uleule
Huu ni msimu wake wa nne akiwa na klabu ya Simba, bado nafasi yake Msimbazi ipo bila shaka ataongezewa mkataba kuendelea kukipiga na mabingwa hao wa nchi
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwake
Happy Birthday Nyoni...!
ADVERTISE HERE