Mwanamsimbazi hupaswi kukosa mchezo dhidi ya Yanga hapo kesho. Huu ni mwaka wa historia kubwa kwa Simba
Jambo kubwa linakwenda kutokea pale kwa Mkapa kabla ya jambo jingine kutokea wiki mbili baadae kwenye michuano ya ligi ya mabingwa
Uongozi wa Simba umewaasa mashabiki kuchangamkia tiketi ili kuujaza uwanja wa Benjamin Mkapa, hii ni mechi ya Simba, ndio mwenyeji wa mchezo
Pia unaweza kununua tikei kupitia mitandao ya simu (Tigo Pesa, M-Pesa au T-Pesa)
ADVERTISE HERE