Muda wa mechi robo fainali ligi ya mabingwa wathibitishwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 May 2021
Muda wa mechi robo fainali ligi ya mabingwa wathibitishwa

Mchezo wa kwanza wa robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika kati ya Kaizer Chiefs dhidi ya Simba utapigwa Jumamosi ya May 15 2021 katika uwanja wa FNB Afrika ya Kusini

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa 12 jioni ambapo kwa hapa Tanzania itakuwa saa moja usiku

Mchezo wa marudiano utapigwa jijini Dar es salaam Jumamosi ya May 22 uwanja wa Benjamin Mkapa kuanzia saa kumi kamili jioni

Mpango wa Simba ni kuhakikisha inatinga nusu fainali ya michuano hii mikubwa zaidi barani Afrika kwa ngazi ya klabu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
48m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’