Ni mwendo wa pira biriani Jumamosi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 May 2021
Ni mwendo wa pira biriani Jumamosi

Kocha Mkuu wa Simba Didier Gomes amesema mpango wao wa mchezo hautabadilika watakapowakabili watani zao Yanga katika mchezo wa ligi kuu ambao utapigwa keshokutwa Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Tangu Gomes atue Simba, mfumo wa uchezaji wa mabingwa hao wa nchi umezidi kupendeza wakitajwa kuwa timu bora zaidi katika hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa

Gomes amesema wataendelea kucheza kama ilivyo kawaida yao akiwahimiza wachezaji wake kufunga pale wanapokaribia kwenye lango la wapinzani.

"Nahitaji kuona wachezaji wanacheza kwa kasi na kujiamini kwani mchezo wetu dhidi ya Yanga hautakuwa mwepesi kutokana na ushindani uliopo"

"Katika michezo iliyopita tumepata matokeo mazuri, imetuongezea kujiamini nafikiri tutakuwa na mchezo mzuri," amesema

Mchezo wa Jumamosi utakuwa wa kwanza kwa Gomes kuikabili Yanga,matumaini ni makubwa kwake kuanza na ushindi katika mchezo huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’