Kuelekea mchezo wa watani wa jadi Jumamosi, TFF imeainisha barabara itakayotumika kwa magari kuingia uwanja wa Benjamin Mkapa
Aidha, magari yatakayoruhusiwa ni yale yatakayokuwa na stiker maalum
Barabara inayotokea TCC na Keko kupitia DUCE haitatumika
ADVERTISE HERE