Kuelekea mchezo wa dabi dhidi ya Yanga ambao utapigwa Jumamosi, May 08 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, tiketi kuelekea mchezo huo tayari zimeanza kuuzwa
Viingilio Mzunguuko ni Tsh 7,000/-, Orange Tsh 10,000/-, VIP B ni Tsh 20,000/- na VIP A ni Tsh 30,000/-
Vituo ambavyo unaweza kujipatia tiketi ni kama vilivyoainishwa hapa chini;

ADVERTISE HERE