Kiungo Mzambia Clatous Chama ndiye mchezaji bora wa Simba kwa mwezi April 2021
Leo Chama amekabidhiwa tuzo yake katika mazoezi ya kikosi cha Simba yanaendelea Bunju yakiwa ni maandalizi ya mchezo dhidi ya Yanga utakaopigwa Jumamosi, May 08, 2021
Pamoja na kukabidhiwa tuzo, chama amepokea kitita cha Tsh Milioni moja
ADVERTISE HERE