Okwi anaamini Yanga wanakufa nyingi Jumamosi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 May 2021
Okwi anaamini Yanga wanakufa nyingi Jumamosi

Mshambuliaji wa zamani wa klabu ya Simba Emmanuel Okwi anaamini klabu yake hiyo ya zamani inaweza kupata ushindi mnono dhidi ya Yanga katika mchezo wa ligi kuu baina ya timu hizo utakaopigwa Jumamosi ijayo katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Okwi alikuwa sehemu ya kikosi cha Simba kilichopata ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Yanga mwaka 2012 akiutaja ushindi huo kuwa bora zaidi katika miaka ya hivi karibuni

"Ushindi ambao wanasimba wanaukumbuka zaidi nadhani ni ule tuliowafunga Yanga mabao 5-0 pengine kuliko hata walivyoifunga Al Ahly"

"Safari hii naona Simba wakienda kupata ushindi mwingine mnono kama ule tuliowafunga mwaka 2012"

"Simba ya sasa ni bora inaweza ikafanya maajabu dhidi ya Yanga," Okwi alinukuliwa na mtandao wa UZB Sports wa nchini Uganda

Mwaka jana Simba ilipata ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Yanga katika mchezo wa nusu fainali michuano ya kombe la FA

Huo ndio ushindi mkubwa zaidi ambao Simba wamepata dhidi ya Yanga baada ya ule wa mwaka 2012

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
5h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
5h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
8h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’